MFUKO WA UWAJIBIKAJI WATOA MIL. 223,775,000 KWA BARAZA LA WAUGUZI!!

Msajiri Mstaafu wa Baraza la Wuguzi na Wakunga na muuguzi wa siku nyingi Jitto Ram akizungumza mbele ya waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuzunumzia Mfuko wa Uadilifu Uwajibikaji na Uwazi kulipati Baraza hilo kiai cha shilingi Milioni 223,775000 kwa ajili ya kutoa mafunzo mbalimbali ili kuborsha huduma ya Afya nchini na uwajibikaji kazini katika picha kulia ni Meneja Mfuko Uadilifu Uwajibikaji na Uwazi Frida Onesmo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment