MKUU WA MKOA WA PWANI AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KITETO!!

Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Hajat Amina Mrisho akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo, wakati alipotangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Kiteto mwaka 2010 kupitia chama cha Mapinduzi, Amina Mrisho aligombea mwaka 2005 na kushika nafasi ya pili katika kura za maoni, hata hivyo atalazimika kupambana na mbunge wa sasa wa jimbo hilo Mh. Benedict Ole Nangoro, kushoto ni mume wa Mkuu huyo wa mkoa wa Pwani aliyeongozana naye katika mkutano huo Al Haji Abeid O. Khamis.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment