Bw Martin Ochole Ndira ambaye nio mwakilishi wa wakazi wa Rorya akizungumza katika mkutano na wanahabari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo juu ya mauaji ya kikabila na wizi wa Mifugo yanayofanyika mkoani Mara katika Wilaya ya Rorya ambapo aliongoza ujumbe wa watu wa Rorya na kuomba msaada kwa Serikali kusaidia kukomesha mauaji hayo ambayo yamewaathiri wakazi wa mkoa huo kwa kiwango kikubwa Bw. Martin Ocholo amesema ni watu wengi wameuwawa lakini mpaka sasa kwa taarifa iliyotolewa na polisi watu 36 wameuwawa, katika picha anayefuata ni Costa Onyando na mwisho ni Denis Ongiri wakazi wa Rorya.
WAKAZI WA RORYA WAOMBA SERIKALI ISAIDIE KUKOMESHA MAUAJI MKOANI MARA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment