Wafanyakzi wa TBL na Familia zao washerekea Kili family Day!!

Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)na familia zao wakipata chakula cha mchana katika hafla ya siku ya familia eneo la Kunduchi, Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)na familia zao wakishindana kucheza 'water pole'wakati wa hafla ya siku ya familia eneo la Kunduchi, Dar es Salaam juzi.

Andrew Bugasha wa timu ya Safari Lager akipiga mpira huku Asheri Kiduligo (kulia) wa timu ya Kilimanjaro Premium Lager akijitahidi kuzuia katika Tamasha la Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na Familia zao,Kunduchi Beach Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Beatrice Mukaba wa Safari Lager. timu hizo zilitoka suluhu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment