MISS VODACOM CHANG'OMBE KUMEKUCHA, FM ACADEMIA KUWALISHA MASHABIKI ZOMBO NA MATEMBELE!!

Vimwana watakaoshiriki katika shindano la kumsaka Miss Vodacom Chang'ombe 2009 wakiwasikiliza wakuu wa kamati ya Miss Tanzania hawapo pichani wakati walipowatembelea leo jioni kwa mazungumzo na warembo hao juu ya maandalizi ya shindano hilo kesho ambapo watoto wa Mujini FM Academia watawalisha mashabiki chakula aina ya Zombo na Matembele.

Wakuu wa kamati ya Miss Tanzania wakiwa katika Pre Gudgiment usaili wa mwisho kabla ya kufanyika kwa shindano la kumtafuta Miss Vodacom Chang'ombe 2009 kesho kwenye ukumbi wa Tcc Sigara, kuanzia kulia ni Albert Makoye muu wa Itifaki, Bosco Majaliwa, katibu mkuu, Hashim Limdenga mkurugenzi na Rameshi Shah Jaji mkuu kamati ya Miss tanzania wakiwafanyia usalili warembo jioni hii pale katika viwanja vya Tcc Sigara.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment