EBOH KILA MTU AFE NA CHAKE ETI!!

Wanakijiji wa kijiji cha Singi'si wilayani Arumeru wakibomoa na kuchukua mali za mmiliki wa shamba ambalo wanadai ni mali ya kijiji hicho ambapo walifanya uharifu mkubwa, inadaiwa kuwa shamba hilo ni la mbunge wa Vunjo CCM Mheshimiwa Kimaro.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment