Meneja Uhusiano wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule (kulia) akikabidhi kemikali kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kitomondo, kwa ajili ya kusaidia mafunzo kwa njia ya vitendo katika maabara ya shule hiyo, wilayani Mafia katika msaada huo pia Vodacom ilikabidhi mifuko ya saruji kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Lewis Kalinjuna kwa ajili ya ujenzi wa Maabara ya shule hiyo.VODACOM YAIPIGA JEKI SEKONDARI YA KITOMONDO MAFIA!!
Posted by
ADMIN
Meneja Uhusiano wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule (kulia) akikabidhi kemikali kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kitomondo, kwa ajili ya kusaidia mafunzo kwa njia ya vitendo katika maabara ya shule hiyo, wilayani Mafia katika msaada huo pia Vodacom ilikabidhi mifuko ya saruji kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Lewis Kalinjuna kwa ajili ya ujenzi wa Maabara ya shule hiyo.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment