BORA WAVINYWAJIVYA TBL KUSHUHUDIA FAINALI ZA KOMBE LA MABARA LEO!!

Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Mgwassa (kulia) akimkabidhi, Vivian Kataraia tiketi ya ndege baada ya kuwa miongoni mwa wauzaji bora 20 wa vinywaji vya kampuni hiyo, walioshinda kwenda kushuhudia fainali ya Kombe la Mabara Afrika Kusini leo.TBL kwa kushirikiana na Kampuni mama ya SAB Miller watawahudumia malazi, chakula na kila kitu washindi watakapokuwa nchini humo. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana ni kiongozi wa msafara,Meneja wa Mauzo Kanda ya Kusini, Albert Mallya.
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Mgwassa (kulia) akimkabidhi, John Bosco tiketi ya ndege baada ya kuwa miongoni mwa wauzaji bora 20 wa vinywaji vya kampuni hiyo, walioshinda kwenda kushuhudia fainali ya Kombe la Mabara Afrika Kusini .TBL kwa kushirikiana na Kampuni mama ya SAB Miller watawahudumia malazi, chakula na kila kitu washindi watakapokuwa nchini humo. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana ni kiongozi wa msafara,Meneja wa Mauzo Kanda ya Kusini, Albert Mallya.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment