BAADA YA NONDOZ WISE CREW SASA KUINGIA KWENYE GEMU!!

wasanii wa kundi la WISE CREW sasa kuingia kwenye gemu la mziki wakizazi kipya rasmi baada ya kufika hatua ya kuhitimu masomo ya degreeya kwanza,wasanii hawa watamaliza masomo yao mwezi ujao na wamesema kuwa masomo ndio yaliowafanya wasijishughulishe sana katika hili gemu kama wasanii wengine, hivyo waliamua kuipa elimu kipaumbele kwanza, hivyo washabiki wasubili kitu kipya kutoka kwa wasomi hawa wa chuo kikuu cha TUMAINI ARUSHA.
Pia wamewaasa wasanii wengine wamziki wa kizazi kipya kupata elimu kwanza ili kwenda sambamba na sayansi,teknolojia na utandawazi, sasa hivi wamekamilisha ngoma mpya iitwayo mademu wa college wakimshilikisha CUBIC na JETMAN. pichaniwasanii hao kutoka kushoto ni SAM LOCKS,MR BLESS,mtayarishaji wa muziki na Mmiliki wa studio ya NOIZMAKER ya ARUSHA DX,ambaye pia anahitimu masomo mwezi ujao,NOIZMAN(TAIFA) na SIR ONE wakiwa katika chuo kikuu cha TUMAINI wakati wa mapumziko ya vipindi vyao

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment