Mama huyu mchuuzi wa samaki katika ufukwe wa Shangani mjini Mtwara ambaye jina lake halikupatikana mara moja akianika dagaa tayari kwa kuwauza huku akiwa amembeba mtoto wake, akina mama wengi wamejiingiza katika biashara ndogondogo ili kujikwamua kimaisha na kuondoa umasikini wa kipato katika Familia. (Picha na Albert Jackson aliyekuwa huko)
WANAWAKE WA MIKOA YA KUSINI WATAJIKWAMUA HIVI?
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
SERIKALI INGEFUTA FACULTY ZOTE ZA UCHUMI T'NZANIA, MAANA KILA ANAEGRADUATE MAWAZO YAKE NI UFISADI, WOTE WANATAKA WAKAE MIJI MIKUBWA KWA SABABU ZA RUSHWA. SIELEWI WANAFUNDISHWA NINI HUKO VYUONI.
MIKOA KAMA YA MTWARA, LINDI, NA KIGOMA INAHATAJI MSAADA WAO ILI WAONDOKANE NA UMASKINI, LAKINI WASOMI WETU WANAJIKIRIA WENYEWE TU NA MATUMBO YAO. OUR EDUCATION SYSTEM PRODUCE MEN WITHOUT A CHEST, JUST A BUNCH OF WIMPS. YOU CALL YOURELF A GRADUATE, WHILE YOU CAN'T EVEN CHANGE OR IMPROVE RURAL POOR ECONOMIC SITUATION.
WE NEED TO CHANGE OUR EDUCATION SYSTEM, WE DON'T NEED GRADUATES CREDENTIALS FOR THE JOB MARKET. WE NEED TO PEODUCE MEN WITH A HEART.
Post a Comment