WANAWAKE WA MIKOA YA KUSINI WATAJIKWAMUA HIVI?

Mama huyu mchuuzi wa samaki katika ufukwe wa Shangani mjini Mtwara ambaye jina lake halikupatikana mara moja akianika dagaa tayari kwa kuwauza huku akiwa amembeba mtoto wake, akina mama wengi wamejiingiza katika biashara ndogondogo ili kujikwamua kimaisha na kuondoa umasikini wa kipato katika Familia. (Picha na Albert Jackson aliyekuwa huko)
Upatikanaji wa maji kwa wakazi wa mikoa ya kusini bado ni tatizo kubwa kama unavyoona kisima hiki kinachomilikiwa na Mhamed Salum mkazi wa Mikindani Mtwara, kimekuwa kikitegemewa na waakazi wengi wa mji huo na ndoo moja ya maji huuzwa kwa shilingi mia moja pata picha hiyo mdau.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. SERIKALI INGEFUTA FACULTY ZOTE ZA UCHUMI T'NZANIA, MAANA KILA ANAEGRADUATE MAWAZO YAKE NI UFISADI, WOTE WANATAKA WAKAE MIJI MIKUBWA KWA SABABU ZA RUSHWA. SIELEWI WANAFUNDISHWA NINI HUKO VYUONI.
    MIKOA KAMA YA MTWARA, LINDI, NA KIGOMA INAHATAJI MSAADA WAO ILI WAONDOKANE NA UMASKINI, LAKINI WASOMI WETU WANAJIKIRIA WENYEWE TU NA MATUMBO YAO. OUR EDUCATION SYSTEM PRODUCE MEN WITHOUT A CHEST, JUST A BUNCH OF WIMPS. YOU CALL YOURELF A GRADUATE, WHILE YOU CAN'T EVEN CHANGE OR IMPROVE RURAL POOR ECONOMIC SITUATION.
    WE NEED TO CHANGE OUR EDUCATION SYSTEM, WE DON'T NEED GRADUATES CREDENTIALS FOR THE JOB MARKET. WE NEED TO PEODUCE MEN WITH A HEART.

Post a Comment