TUKIZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI TUTAWEZA KUPUNGUZA AJALI!!

Tuna tatizo la mipango miji ndiyo maana barabara zetu nyingi zinakuwa hazipitiki kirahisi kwa watumiaji wa barabara hizo yakiwemo magari na aina nyingine ya vyombo vya moto, mikokoteni na baiskeli, lakini shida inakuwa kubwa zaidi pale watumiaji wa barabara hizo wanapokuwa hawajui sheria za usalama barabarani au kupuuza sheria za usalama barabarani kama unavyomuona mkazi huyu wa jiji la mwanza akiwa amepanda mkokoteni unaokokotwa na Ng'ombe, kitu ambacho kinapelekea kutokea kwa ajali nyingi nchini na kusababisha hasara ya mali vifo na majeruhi hebu tujaribu kuzingatia sheria jamani tunaweza kupunguza tatizo la ajali picha hii imepigwa na mdau Michuzijunior aliyeko mwanza

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment