Katibu mkuu wa miundombinu atembelea meli iliyokwama!!

Katibu Mkuu wa wizara ya Miundombinu Omar Chambo akiongea na waandishi wa habari kuhusu kukwama kwa meli ya mizigo ya MSC Federica jana jioni katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona, meli hiyo ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito
Katibu Mkuu wa wizara ya Miundombinu Omar Chambo akiangalia meli ya mizigo ya MSC Federica iliyokwama jana jioni katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona meli hiyo ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito.

Habour Master nahodha Juma Saire akimuonyesha Katibu Mkuu wa wizara ya Miundombinu Omar Chambo (wa katikati) meli ya mizigo ya MSC Federica iliyokwama jana jioni katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona, meli hiyo ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa bandari Ephraim Mgawe.

Meli ya MSC Federica iliyokwama jana jioni katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona meli hiyo ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar es Salaam kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment