Wateja Zain kulipia bili na kuongeza muda wa maongezi kupitia ATM za Stambic!!

Meneja Mauzo na Uzalishaji wa Stanbic Bank, Lilian Kitomari (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi wateja wa Zain wanavyoweza kulipia bili zao za simu na kuongeza muda wa maongezi kupitia ATM za Stanbic wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Stanbic, Abdallah Singano na kulia ni Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Costantine Magavilla.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment