Zain yazindua huduma mpya ya kibenki (Zap Photos) kwa kutumia simu za mkononi!!

Meneja Bidhaa wa Zain Tanzania, Deo Tarimo akitokea maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma mpya ya benki kupitia simu za mkononi (Zap) iliyozinduliwa na Zain barani Afrika, Dar es Salaam jana (Februari 16, 2009).
Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania, Heiko Schlittke (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Citi Bank, Omar Hafeez, Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zain Tanzania, Chiruyi Walingo na Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Irene Mlola wakionyesha katalogi za Zap kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo mpya ya benki kupitia simu za mkononi iliyozinduliwa na Zain, Dar es Salaam jana (Februari 16, 2009).

Meneja Bidhaa wa Zain Tanzania, Deo Tarimo (kushoto), Meneja Uhusiano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya, Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Irene Mlola na Mkurugenzi wa Fedha wa Zain Tanzania, Heiko Schlittke wakionyesha katalogi za Zap kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo mpya ya benki kupitia simu za mkononi iliyozinduliwa na Zain, Dar es Salaam jana (Februari 16, 2009).

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment