Zain Management Forum yafanyika jijini!!

Mkurugenzi wa Ukaguzi na Uchunguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAO), Bw. Joseph Sheffu akifafanua jambo wakati wa kujadili mada ya thamani ya fedha katika ukaguzi kwenye jukwaa la viongozi (Management Forum) linalodhaminiwa na kampuni ya simu selula ya Zain kwenye ukumbi wa British Council, Dar es Salaam juzi (Februari 25, 2009). Zain imedhamini Management Forum kwa sh. milioni 30 kwa mwaka.
Meneja Mradi wa British Council, Bi. Navonaeli Kaniki akikabidhi chetu cha shukrani kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi na Uchunguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAO), Bw. Joseph Sheffu baada ya kutoa mada ya thamani ya fedha katika ukaguzi kwenye jukwaa la viongozi (Management Forum) linalodhaminiwa na kampuni ya simu selula ya Zain kwenye ukumbi wa British Council, Dar es Salaam juzi (Februari 25, 2009).



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment