POMBE NI TAMU LAKINI PIA NI MATESO USIPOKUWA MAKINI!!

Jamaa huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwekwa kwenye machela mara baada ya kufikishwa katika hospitali ya Temeke kwa matibabu huku akivuja damu kwa wingi kutokana na majeraha , mtu huyu ameletwa hospitalini hapo leo na polisi akiwa na majeraha makubwa ambayo inadaiwa amepigwa na kuumizwa na katika ulevi wa pombe.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment