BAN KI MOON ATUA BONGO!!


Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon ametua leo nyakati za mchana katika uwanja wa ndege wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika ziara hiyo hapa nchini kiongozi huyo wa umoja wa mataifa pamoja na shughuli zingine Ban Ki Moon anatarajiwa kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete Ikulu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment