Waziri Ngelleja azungumzia uuzwaji wa kampuni ya madini Williamson Diamonds Limited

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiongea na waandishi wa habari leo kuhusu uuzwaji wa asilimia 75 ya hisa za kampuni ya Williamson Diamonds Limited zinazomilikiwa na Kampuni ya Willcroft Company Limited katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo uliopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kamishna wa Madini Dk. Peter Kafumu akimsikiliza kwa makini.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment