ABEID NA LAISHA WAMEREMETA!!

Dr. Laisha na Mumewe Abeid wakitabasamu kwa furaha na matumaini makubwa katika maisha yao mapya FULLSHANGWE inawatakia maisha mema na yenye furaha tele.
Hapa wakimeremeta na kupata upepo mwanana kandkando ya bahari.

Dr. Laisha akimvisha pete mumewe Abeid katika ufukwe wa Bahari ya hindi Hoteli ya Kunduchi Beach jana 17/01/2009 baada ya ndoa yao kufungwa na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka iliyofanyika hotelini hapo.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Guys! hongereni sana mnastahili kila pongezi, Mungu awape kila la heri na pale mlipopungukiwa awazidishie!! Inshallah!!!

Post a Comment