MWANA FA NA AY WALIVYOSHUSHA MISTARI YENYE FLEVA CINE CLUB BEACH PATY!!

Binamu na B12 pata matukio kwa kuangalia matukio katika picha
AY akiwa na Adam Mchomvu jukwaani.

Steve B akifanya vitu vyake kwenye mashine

Kutoka kushoto B12 AY, Mwana FA, Nelly Kinyaha Adam Mchomvu na washkaji wengine.


Vijana walioleta Shangwe katika ufukwe wa bahari ya Hindi pale Cine Club jana kwenye Beach Paty iliyoburudishwa na wasanii Ambwene Yesaya (AY) na Mwana FA (Binamu) kutoka kulia ni Dj Nelly, Dj Runy, B12, Dj Pq na Adam Mchomvu.





You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment