Greetings from US!!

Kutoka kushoto Richard Kasesela, Laurel Hurbert(mkurugenzi wa LZ enterprise), Joel Bendera, Jim Morris(Rais wa Indiana Pacers NBA basketball team), Mh. Ali Shamhuna Naibu Waziri kiongozi Serikali ya Mapinduzi Zanziba mara baada ya kuhudhuria mechi kati ya Indiana Pacers na Atlanta Hawks, ambapo Pacers ilishinda vibaya Hawks. Aliye jificha kulia ni Leodgar Tenga wa TFF.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment