Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana na zimeoinyesha kiwango cha chini tofauti na ilivyofikiriwa na wengi kuwa ungekuwa mchezo wa kusisimua zaidi hivyo Kocha wa Simba Patrick Phiri ambaye ni mtaalam wa kusumbua ana kazi ya ziada ya kuhakikisha kikosi hicho cha wana msimbazi kinarudi kwenye kiwango chake kabla ya mchezo wa ngao ya Hisani katika ya watani hao Yanga na Simba unaotarajiwa kupigwa Agosti 14 jijini Dar es salaam.
SIMBA NA EXPRESS YA UGANDA ZAONYESHA KIWANGO CHA CHINI NA KUTOKA SARE 0-0 SIMBA DAY!!
Posted by
ADMIN
Labels:
SPORTS
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment