Hii inaonyesha kuwa kuku wa Singida pamoja na kwamba wanafugwa kwa wingi lakini pia inaonyesha kwa kuku hao ni watamu sana kwani mkoa wa Singida umekuwa ni moja ya mikoa ambayo inazalisha kuku kwa wingi nchini na kuuzwa katika mioa mbalibali ya kanda ya Maskazini na Pwani pia.(Picha na Hillary Shoo Singida)
KUKU WA SINGIDA WATAMU JAMANI WE ACHA TU, WAONJE UTANIAMBIA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment