Waislamu wakiandamana na Bango lenye ujumbe unaosomeka Tunataka Kadhi anayetambulika Kikatiba na si BAKWATA na CCM Kadhi lazima hata kwa Jihad" maandamano hayo yameanzia katika viwanja vya Mnazi Mmoja na kuishia maeneo ya Manzese jijini Dar es salaam.
WAISLAM WAANDAMANA WAKIDAI KADHI ATAMBULIWE KIKATIBA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment