Rehema I. Nyagawa anawasalimu wazazi wake na bibi yake!!

Rehema Ismail Nyagawa anawasalimia Mama yake Tully Mwakasisi, Baba yake Ismail Nyagawa, Mjomba yake Peter Mwakasisi, Bibi yake, Anna Itenda wa Idara ya Habari Maelezo na Wafanyakazi wote wa idara ya Habari na Waandishi wa Habari wote nchini Tanzania.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment