Rais Kikwete afanywa mtemi Urambo!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuvikwa mavavi ya kijadi kama mtemi na malkia wa Wanyamwezi leo wakati wa hafla ya ufunguzi wa ofisi ya mbunge wa jimbo la Urambo Mshariki leo mchana(picha na Freddy Maro)

Mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete akivishwa joho kwa ajili ya kumsimika kama mlezi wa Mke wa Mtawala wa Kabila ya Wanyawezi. zoezi hilo lilifanyika mara baada ya Rais Kikwete kutawazwa leo wilayani Urambo kuwa kiongozi wa Kabila la Wanyamwezi.
(Picha na Tiganya Vincent)-MAELEZO-Urambo

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Aden Rage (kulia) akishirikiana na Spika wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta kumsindikiza Rais Kikwete leo mjini Urambo mara baada ya uzinduzi wa Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment