Rais Kikwete amsalimia mlemavu Muriti, Ukerewe!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia na kumsikiliza msichana mlemavu Tabu Wanjala muda mfupi baada ya kuzundua mradi wa umeme na kuwahutubia wananchi katika kijiji cha Muriti, wilayani Ukerewe juzi jioni(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment