BENKI YA EXIM YAWAFUNDA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKOANI KILIMANJARO!!

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro , Shally Raymond akifungua mafunzo ya Usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa YMCA mjini hapa, mafunzo hayo ya wiki moja yanaendeshwa na Benki ya Exim kwa wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro.

Mbunge wa Viti Maalum , Shally Raymond Akiteta jambo na Meneja Msaidizi wa Benki ya Exim kanda ya Kaskazini Sreekumar Vamadevan wakati wa mafunzo ya ya wiki moja ya Usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro, mafunzo hayo yaliyoanza jana katika ukumbi wa YMCA yaliyoandaliwa na Benki ya Exim.

Mkufunzi wa Mafunzo ya Usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali, Lameck Kisinza akitoa mada kwa juu ya uendeshaji wa miradi kwa wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Ukumbi wa YMCA, mafunzo hayo ya wiki moja yanaendeshwa na Benki ya Benki ya Exim .

Mmoja wa Wajasiliamali, Eunice Ngowi akichangia mada wakati wa mafunzo ya usimamizi wa Fedha na Ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro mafunzo hayo ya wiki moja yameandaliwa na Benki wa Exim .

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment