NI MWISHO MWAMPAMBA TENA KATIKA BBA ALL STARS 2010!!

Mwisho Mwampamaba akiingia ndani ya nyumbaa BBA na staili ya kufuga ndevu kwa chati...huku akisema kuwa siku hizi amekuwa bush man, mtu wa kijijini....! kutrokana na muwezo wam Mwisho Mwampamba kuvaa uhusika ni imani yetu kwamba anaweza kufika mbali katika shindano la BBA Stars mwaka huu tunamtakia kila mafanikio katika shindano hilo, Picha kwa hisani ya mtandao wa GPL .COM.

Meneja Mkuu wa MultiChoice Tanzania, Peter Fauel (kulia) akifungua rasmi uangaliaji wa BBA All STARS. katikati ni Meneja huduma wa multiChoice Ronald Shelukindo na kushoto ni Meneja Uhusiano wao, Ms. Barbra Kambongi.

Mwanamuziki maarufu nchini Lady Jaydee (kulia) akiwa na mumewe Gadner G Habash na staa wa f nchiilamu ni, Steve Kanumba (shoto).


Mastaa wa filamu Bongo nao walikuwepo, kutoka kulia ni Steven Jacob (JB), Ray, Steven Kanumba na Rich Rich wakiwa katika picha ya pamoja.
Ma Miss Ilala 2009 Rahma Shally (kushoto) na Miss Tanzania 2009 anayemaliza muda wake, Miriam Gerald wakiwa katika picha ya pamoja.




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment