MISS TEMEKE NDIYO KWANZA INAPAMBA MOTO!!


Hivi sasa shindano la Redds Miss Temeke ndiyo limeanza usiku huu na tayari warembo wanapita jukwaani kwa ajili ya utambulisho mara baada ya kucheza shoo yao ya ufunguzi mambo yako bambam na burudani mbalimbali zinatolewea na na B. Band na Shoo kali ya wanenguaji wa bendi ya African Stars.

Mkurugenzi wa Mosoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru kulia akizungumza na mpiganaji Athman Hamis ambaye ni mmoja wa wageni waalikwa kwenye shindano la Redds Miss Temeke kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe jijini Dare es salaaiku usiku huu.

warembo mbalimbali wakifuatilia shindano hilo mara baada ya kuanza.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment