MATUKIO BUNGENI DODOMA!

Mbunge wa Jimbo la Donge Ali Ameir (katikati) akifurahia jambo na Mbunge wa wa Jimbo la Ulanga Dkt Juma Ngasongwa (kulia) na Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mashariki Daniel Nsazugwako(kushoto) jana mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu cha kikao cha thelathini cha Mkutano wa Ishirini wa Bunge.

Waziri wa fedha na Uchumi Mustafa Mkulo(kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Bariadi Mashariki(UDP) John Cheo leo mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu cha kikao cha thelathini cha Mkutano wa Ishirini wa Bunge. Picha na Tiganya Vincent-Dodoma

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment