MASABURI MGOMBEA UDIWANI KATA YA KIVUKONI.

Mgombea Udiwani kata ya Kivukoni (kulia) Mhe. Dr. Didas John Masaburi (kushoto) na Stephen Didas Masaburi ambaye ni mwanae akiongea na Waandishi wa Habari ambao hawapo pichani kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Anna Itenda -Maelezo)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment