Korea Kusini yalipatia msaada wa Komputa Bunge!!

Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah akipokea msaada wa Komputa 18 zenye thamani ya zaidi ya million 20 toka kwa Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Young – Hoon Kim. Komputa hizo zimetolewa na Ubolozi huo nchini kusaidia matumizi mbalimbali kwa waheshimiwa na watumishi wa Ofisi ya Bunge. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment