FFU wa Ngoma Africa band na Gwaride ya Double! Concerts! Ijumaa 23 -07-2010 ndani ya World Music Festival.Loshausen City,Ujerumani
FFU wa Ngoma Africa Band watautumbuiza katika onyesho lingine kubwa la AFRILU Festival,mjini Ludwigshaven, siku 24 -07-2010 Jumamosi ambako washabiki wa muziki na wakazi wa miji ya Manheim na Heidberg,Ujerumani watajipendelea kwa kucheza muziki wa bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya.
"The Ngoma Africa Band" iliyoanzishwa mwaka 1993 na yenye mazoea ya kuwatia kiwewe washabiki wa muziki kila inapotumbuiza. imefanikiwa kujizolea washabiki kila kona duniani,
imejikuta na kazi ngumu ya kuwapa burudani washabiki wake kutokana na kupata mashabiki wengi kila inapotumbuiza barani ulaya.
Ngoma Africa band kwa sasa wanawasha moto wa kimataifa na singo CD mpya "Jakaya Kikwete 2010" lakini pia unaweza kujipa raha kwa kusikiliza nyimbo kwenye mtandao kupitia www.myspace.com/thengomaafrica pia jumuika nao katika baraza la www.facebook.com/ngomaafrica wasiliana nao ngoma4u@googlemail.com





0 comments:
Post a Comment