Kwa kitendo cha Zitto Kabwe kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo lake kunazika minog'ono yote iliyokuwa ikisikika kuwa pengine angegombea kupitia kupitia jimbo lolote jijini Dar es salaam.
Picha zote na Mpiga picha wetu.
Wakazi wa kijiji cha Mwandiga Kigoma vijijini wakimsikiliza Mbunge wa Kigoma Kaskazini jana katika mkutano wa hadhara ambapo Zito alichukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo hilo.





0 comments:
Post a Comment