Rais jakaya kikwete afungua barabara ya Kigoma-Kidahwe leo!!

Rais Jakaya akizindua rasmi Barabra ya Kigoma -Kidahwe yenye kiwango cha lami na urefu wa kilometa 35.7 ambayo ni shemu ya mtandao wa barabara unounganisha Mkoa wa Kigoma na Mikoa ya tabora , Rukwa, Shinyanga na Kagera, Barabara hii ameizinduliwa leo na imejengwa na kampuni ya China Henan, ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni37.1 za Serikali ya Tanzania Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Rais Jakaya Kikwete akimsalimiana na mzee Musa Mulihano wa mkoani Kigoma (mwenye zaidi ya miaka 90 ) walipokutana katika uzinduzi wa barabara.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment