NIMKA LAMECK AWAHUTUBIA NEW HOPE SIKU YA MTOTO WA AFRIKA!!

Mwenyekiti wa Chipukizi wilaya ya Kinondoni ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambaye pia ni mtetezi wa haki za watoto Nimka Lameck akiwahutubia leo jijini Dar es salaam watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa kikundi cha New Hope ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika . Kushoto ni Mfadhili wa Kikundi hicho ambaye pia ni Mfanyabiashara jijini Dar es salaam Bw. Saleh Binzoo.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment