MCHUANO WA WATANGAZAJI WA VIPINDI VYA TAARAB!!

Miriam Migomba TBC.
Tukio: mchuano wa Queen wa Vipindi vya Taarab
Wahusika: Khadija Shaibu ‘Dida’ wa Radio Times FM na Mariam Migomba ‘Mami’ wa TBC FM zote za jijini Dar.
Dhumuni: Kumpata mtangazaji mkali zaidi ya wenzake katika uendeshaji wa vipindi vya taarab Tanzania kwa mwaka 2010.
Fainali: Itafanyika tarehe 6/6/2010
Ukumbi: Hotel Travertine, Magomeni Mapipa, Dar es Salaam .
Burudani: Kundi mahiri la muziki wa taarab la Jahazi Modern chini ya Mfalme Mzee Yusuf
Zawadi: Mshindi wa kwanza atapata tuzo maalum na pesa taslim na mshindi wa pili atapata tuzo maalum na pesa taslim robo tatu ya pato la mshindi wa kwanza.
Mgeni rasmi: Mheshimiwa Mbunge wa Kinodnoni, Idd Mohammed Azzan
Mshereheshaji (MC): Maimartha Jesse – mtangazaji wa kituo cha runinga cha TBC
Kura : Wadau watatuma SMS moja tu kwa jina la anayependekezwa kuwa mshindi kwenda namba 0655 001520 na matokeo yatatangazwa siku ya tukio yaani ukumbini.
Dida Times.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. wekeni picha zao za hivi sasa,hizo picha hata hazina uhalisia wakati tunawaona mitaani sivyo

Post a Comment