AMISUU MALIK ATAWAZWA KUWA VODACOM MISS SINZA 2010!!

Mshindi wa Vodacom Miss Sinza, Amisuu Malik, akilia kwa furaha baada baada ya kutawazwa kuwa Vodacom Miss Sinza 2010, Kushoto ni mshindi wa pili, Caroline Ndembo na kulia ni Salma Ally ambaye aliyeshika nafasi ya tatu, shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Vatican City, Sinza Jijini Dar es Salaam.
Meneja Bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi akizungumza ka wa niaba ya Vodacom ambao ndiyo wadhamini wakuuu wa Miss Tanzania nyuma aliyesimama jukwaani ni mwandaaji wa shindano hilo Mamaa Vareria Urio.
Vazi la jioni.
warembo katika shoo ya ufunguzi.
Nyoshi El Sadaat kushoto akimtambulisha mwanamuziki Adolf Domingize wa Wenge Musica (Tonyatonya) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati alipotembelea na kujionea shindano hilo la urembo.
Kiongozi wa bendi ya FM Academia Nyoshi El Sadaat akiimba huku akimuangalia mnenguaji wa bendi hiyo wakati walipofanya onyesho lao katika shindano la Miss Sinza usiku wa kuamkia leo pale Vatcan City Sinza jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. Mshindi wa pili, Caroline Mbembo, ni raia wa DR Congo. Aliukana lini uraia wake na kuwa Mtanzania kamili? Au ndio zile ishu za vyeti feki vya kuzaliwa?

    Waandaaji kuweni makini na watu kama hawa. Mmechemka kweli!

  2. Memories

Post a Comment