Akhsanteni sana wana libeneke wenzangu kwa sapoti yenu kubwa mlioionesha kwangu kwa kunitambulisha kupitia blog zenu,kwa kweli sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea muendelee kublogisha kwa afya njema kabisa na yale mabaya yote yawapishie mbali,mmekuwa mfano kwangu siku zote na mmekuwa kama kioo kwangu,akhsanteni sana,tuendeleze libeneke kwa kushirikiana,mi bado mchanga kwahiyo nategemea kukosolewa,kuonywa na kuelemishwa pale ntakapokwenda arijojo,milango iko wazi,pia kwa chochote msisite kunirushia kupitia email yangu hii hii.Nawatakia weekend njema na Pasaka njema pia.Shukrani!!!
By Renatus Kiluvia
muzikinamaisha.blogspot.com
By Renatus Kiluvia
muzikinamaisha.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment