TUNAWATAKIA WIKIENDI NJEMA WADAU WOTE!!

Wadau kutoka Jambo Leo wakipozi kwa picha ya wikiendi mbele ya Camera ya FULLSHANGWE kushoto ni Willy Edward (Fally Ipupa) na kulia ni mzee wa Kivazi Said Mwishehe (Ferre Gola) wao wanasema kila kitu ni kazi hata kuvaa usipoyajua mapigo unaweza kutupia tu kama unaanika nguo vile.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment