
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi Laston Msongole akichangia mada jana mjini Morogoro kwenye mkutano wa siku tatu wa Maafisa Mipango na wachumi inayokuwa inasema kuwa jukumu la maafisa mipango katika maendeleo ya uchumi. Mkutano huo wa siku tatu unafadhiliwa na Wizara hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyabiashara , wenye viwanda na kilimo (Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture-TCCIA) Specioza Mashauri akitoa mchango wake jana katika mkutano wa siku tatu wa wachumi unaoendelea mjini Morogoro. Mkutano huo unafadhiliwa na Wizara ya Fedha na Uchumi.
Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-MOROGORO
0 comments:
Post a Comment