Kwa mujibu wa kocha wa timu ya Manchester United Sir Alex Ferguson shujaa wa Kombe la Carling Rooney huenda asicheze mchezo wa kirafiki na Misri katika uwanja wa Wembley siku ya Jumatano.
Meneja huyo wa Manchester United amesema Rooney anasumbuliwa na goti baada ya ushindi dhidi ya Aston Villa.
Ferguson amesema Rooney amekuwa akilalamika maumivu ya goti wiki chache zilizopita na walikuwa wanakusudia kumpumzisha.
Madaktari wanachunguza tatizo hilo na hafahamu nini England watakachofanya. http://www.bbcswahili.com/

0 comments:
Post a Comment