Rais Kikwete Mgeni Rasmi Siku ya wanawake Duniani Kitaifa Mkoani Tabora!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia taifa wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi,Tabora leo mchana.(photo by Freddy Maro)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na vikundi mbalimbali vya wanawake wa mkoa wa Tabora wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora leo.
Umoja wa Wanawake wa UWT wakipita mbele ya Mh. Rais Jakaya Kikwete na wananchi mbalimbali waliohudhuria maadhimisho hayo mkoani Tabora.
Wanafunzi wa vyuo na shule za sekondari mkoani Tabora wakipita na mabango mbele ya Rais Jakaya Kikwete na vioingozi wengine wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake iloiyofanyika kitaifa mkoani Tabora.
Sehemu ya wakazi wa mji wa Tabora na mikoa mingine ya jirani waliohudhuria kilele cha sherehe ya siku ya Wanawake duniani iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora leo mchana.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment