Rais Kikwete ajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura Msoga!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakikagua kwa makini kitambulisho kipya cha kupiga kura cha Mama Salma wakati Rais Kikwete na Mkewe walipojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na kupatiwa vitambulisho vipya huko kijijini kwake Msoga, wilayani Bagamoyo jana asubuhi.Kushoto ni msimamizi wa kituo cha wapiga kura Msoga Bi.Diana Fredrick
(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment