OFA YA KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA!!

TTB yatoa ofa za Pasaka kwa wale wanaopenda kwenda kutembelea mbuga za wanyama Mikumi Ruaha, Bagamoyo kwa maelezo zaidi tembelea mtandao wao kwa kubofya hapa

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. mpaka wizara inatoa ofa!kweli inaonyesha watanzania hatuna utamaduni wa kutembelea vivutio vilivyoko nchini kwetu...itapendeza zaidi kama ofa hii itaendelea hata baada ya pasaka watanzania sijui tutanza lini kutembelea vivutio vya utalii vya nchini kwetu ama ndo tunafikiri vimewekwa kwajili ya wazungu??..tunaomba wizara ya utalii na wanaohusika na utalii nchini wazidi kutoa msukumo wa utalii wa ndani na bei ya bidhaa za utalii ziwe kwenye standard itakayomuezesha Mkulima kama mimi kupanda Milima wetu kilimajaro ama kutembelea mbuga za kitalii...watanzani nasi tuamke tuache kufanya mambo mengine ambayo hayanafaida kwetu tuweke utamaduni wa kutembelea vivutio vyetu..

Post a Comment