Naibu Waziri atembelea makazi ya wakoma ya Sukamahela Wilayani Manyoni!!

Naibu Waziri Dk. Aisha Kigoda akisalimiana na mmoja wa wakazi wa makazi wagonjwa wa ukoma Sukamahela katika kukagua nyumba zilizokarabatiwa hivi karibuni na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Naibu Waziri aliongea na wazee na watu walioathirika na ugonjwa wa ukoma katika makazi ya Sukamahela, wilayani Manyoni.
Bi Amina akimwongoza Naibu Waziri kwenye nyumba aisiyo katika makazi hayo.

Baadhi ya wakazi wa makazi hayo pamoja wa wananchi wa kijiji cha Sukamahela wakicheza ngoma ya Kigogo katika mkutano wa hadhara uliofanywa na Naibu Waziri Dk. Aisha Kigoda.(Picha na Mdau Catherine Sungura-Manyoni)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment