MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF AMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI!


Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF Bw. Heimo Laakkonen akifurahia zawadi aliyopewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Margaret Sitta. Bw. Heimo amefika ofisini kwa Mhe. Waziri kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
PICHA NA ASTERIA MUHOZYA.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment