MTOTO DIANA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE!!

Mtoto Diana John Bukuku (kulia) akishirikiana na rafiki yake Grolia Msechu kukata keki wakati wa hafla yake ya kutimiza miaka 8 ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwao karibu na Viwanja vya maonyesho vya Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni Familia ya Bw. John Bukuku inampongeza mtoto wao mpendwa na inamtakia maisha marefu na mafanikio katika masomo yake mungu ambariki.
Diana John Bukuku akimlisha keki dada yake Ivone wakati wa hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika numbani kwao Viwanja vya vya Maonesho vya Mwalimu J.K.Nyerere jini Dar es sa laam jana jioni hongera diana kwa kutimiza miaka 8. ya kuzaliwa kwako.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Heri kwa sikukuu ya kuzaliwa Diana!
    Mungu akujaalie afya njema, akili na maarifa tele.
    Hongera John kwa ulezi mwema!

Post a Comment